Kundi la Muqawama wa Palestina Hamas siku ya Jumanne lilimteua Yahya Sinwar kuwa mkuu wake mpya wa kisiasa.
Sinwar atachukua nafasi ya Ismail Haniyeh, aliyeuawa mjini Tehran nchini Iran baada ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa rais mpya wa Iran tarehe 31 Julai.