Kupitia Ukrasa wa mtandao wa kijamii wa Jukwaa la SANAA PESA SUMMIT,Tumekuletea taarifa hii waliyoichapa kupitia Ukrasa wao.
Juu ya mipangao yao katika kuwaletea maendelea wasanii wa Taifa hili la tanzania katika Nyanja mbalimbali zikiwemo za kuinua Uchumi wao pamoja na Maswala ya Afya (Bima za matibabu)
Mwenyekiti wa Shirikisho La Muziki Tanzania Ndugu Addo November akiongozana na Katibu Wake Farid kuband (fid q) Ndio Waliohusika Kwa Upana Kwa Kushirikiana Na Sanaapesasummit Chini Ya Our Own Brother Ebe_nation Wote Kwa Pamoja Walikuwa Sambamba Kumuelewesha Mheshimiwa Naibu Waziri Wa Sanaa, Utamaduni na Michezo Mh. HAMIS MWINJUMA a.k.a Mwana FA Dhima kuu Ya Hii SUMMIT na Kumpa Kipaza @kmapana Ili Amkaribishe Mheshimiwa Kwaajili Ya Mazungumzo Rasmi
Ndugu @addonovember Alianza Kwa Kumshukuru Mgeni Rasmi, kwa Kufuta na Kukataa Kabisa Swala La Wasanii Kulipia Account za Youtube, Aliongeza Kwa Kusema
“Kuna Msanii Yupo Nanjilinji Huko anawezaje kulipia account ya Youtube!?”
Aliendelea Kwa Kumshukuru Mgeni Rasmi kwa Kujitolea Na Kutenga Muda Wake Kwaajili Ya Kuwasikiliza Wasanii na Wabunifu Kila Anapohitajika.
Sisi kama @sanaapesasummit Kunawashukuru Viongozi wote Wa #TMF Kwa Kujitoa Mwanzo Mwisho Mpaka Tumemaliza Salama, Mbarikiwe Sana…
Ukiwa kama Msanii na Mbunifu Asante Kwahudhuria Siku Ya Tarehe ( 02/08/2024) Pale UBUNGO PLAZA @ubungoplazaltd Katika Event Maalumu ya Kupata Elimu ya jinsi ya kujikwamua kisanaa