ENDESHA SALAMA, UFIKE SALAMA

KADUSHI MEDIA
By -
0

 

Askari wa kikosi cha usalama barabarani wilaya ya Sengerema, mkoani Mwanza Sajenti Selina Manda akitoa elimu ya usalama barabarani kwa mwendesha pikipiki (Bodaboda) kuhusu madhara ya kubeba abiria na mizigo kwa njia hatarishi.


Pamoja na kumuonya dereva huyo pia, Selina amemuelimisha juu ya umuhimu wa kupata mafunzo ya udereva, kufuata Sheria za usalama barabarani pamoja na madhara ya mwendokasi kwake na watumiaji wengine wa barabara.


Sajenti Selina Manda akitoa elimu ya usalama barabarani

Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)