Bawasiri ni nini?
Huu ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama ambacho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/Hemorrhoid nk
SABABU YA BAWASIRI
Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa Vinyama sehemu ya haja kubwa
1.kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
2.kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa
3.kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
4.kupata kinyesi chenye damu
5.kupata maumivu makali wakati wa kujisaidiaKupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya
MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI
1.Uzito kupita kiasi(Overweight)
Ujauzito
3.Kunyanyua vitu vizito na Mazoezi makali
4.Kukaa sana sehemu eneo moja mda mrefu
5.Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa( tendo la ndoa kinyume).
6.Kujisaidia Choo Kigumu.
Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
-Vidonda vya Tumbo
-Ngiri/Hernia
-Ulaji duni
AINA 2 ZA BAWASIRI
BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ambapo kinyama huwa nje hata kama hujaenda kujisaidia haja kubwa.
2.BAWASIRI YA NDANI
Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu na kinyama hutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.
Bawasiri ya dani ina hatua NNE ambazo ni:
HATUA YA KWANZA
Katika hatua hii mtu hujihisi maumivu makali,miwasho pamoja na kutokwa damu wakati wa kujisaidia na kinyama hakionekani wakati wa kujisaidia.
HATUA YA PILI
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe punde baada ya kujisaidia
HATUA YA TATU
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe ama inaweza kurudi yenyewe baada ya muda
Kwa msaada zaidi nipigie tukusaidie 0625 33 74 93